Adam na hawa ni myth tu mkuu
Ubongo unapokuwa mzito kuliko akili ni shida sana
Bangi zengine hizi ww ulikuwepo mpaka useme hivo

Una Maanisha Nini? Kumbuka Biblia Na Vitabu Vingine Vya Dini Vimesambazwa Na Wazungu,japokuwa Ni Neno La Kweli La Mungu,kwa Hiyo Usitegemee Ktk Ku Act Sinema Za Yesu Na Zingine Mtu Mweusi Akahusishwa Lazima Wa Act Wazungu,ni Kweli Yesu Alikuwa Mweupe Maana Alizaliwa Israel,lakini Kwa Habari Ya Adam Na Hawa,hakuna Ajuaye.

Hayo mawazo tu.
sio lazima uwepo ndipo uamini jambo fulani. kama unaona wazo la mtoa mada ni bangi basi ww una matope kichwaniBangi zengine hizi ww ulikuwepo mpaka useme hivo
Una Maanisha Nini? Kumbuka Biblia Na Vitabu Vingine Vya Dini Vimesambazwa Na Wazungu,japokuwa Ni Neno La Kweli La Mungu,kwa Hiyo Usitegemee Ktk Ku Act Sinema Za Yesu Na Zingine Mtu Mweusi Akahusishwa Lazima Wa Act Wazungu,ni Kweli Yesu Alikuwa Mweupe Maana Alizaliwa Israel,lakini Kwa Habari Ya Adam Na Hawa,hakuna Ajuaye.
bibilia inakuhusu nini we Africans mwenzangu??Koma Kama Ulivyo Koma,kwenye Biblia Takatatifu Neno La Mungu Lililo Hai Hakuna Myth,kila Kilichoandikwa Ni Kweli.