Black Friday 24-nov miaka yote

Maria M

New Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Wana jamvi habari zenu kwenye pta pita zangu nime liona sana hili neno Black friday, mara nyingi nime iona mwezi huu kwenye mitandao ya njee ya nchi ya tanzania waki tangaza sana ...kuna lecturer wa chuo kimmoja hapa Dar baada ya kuona hilo tangazo aliniambia ni sawa na Movie ya the Purge kwa nijuavyo hii mvie ni ya kuuwana sasa kikuelewa ina relate vipi na hii siku 24th nov mana huyu lecturer alinimbia kila mwaka inafanyika siku muelewa kwa kweli. kilicho nifanya ni take kujua zaidi ni kwa nini ali fananisha na ovie ya The purge na kwa tanzania ina impact gani mana niliona tanzania kupitia mtandao wa Jumia hapa Black Friday Sales 2017 - Biggest Online Sales & Offers | Jumia Tanzania

ukiangalia jumia wameweka vitu vitu hata sija elewa vizuri na nimeona pia ni karibia jumia zote Africa wana hii mambo utofaut uko kwenye domain name tu lakini nchi za nje ndio nime ona sana kupitia mitanadao yao.. naombeni mnieleimishe tfadhali
 
Mimi black friday najua ni wiki hii London ambapo tutapata mahitaji yote kwa bei bwelele
Hilo lingine ngoja nisome
 
Huko marekani na baadhi ya nchi nyingine wana sherehe inaitwa "Thanks giving" hua inafanyika Alhamisi ya nne ya mwezi wa 11, ijumaa baada ya sherehe hiyo ndiyo inaitwa "black friday". wauzaji wa maduka huwa wanasema kua shopping kwa ajili ya krismasi ndio hua inaanza rasmi hivyo hua kunakua na mapunguzo makubwa makubwa ya bei kuwavutia watu siku hiyo. ni hivyo tu, labda kama la profeseri wako alikua anazungumzia "black friday " nyingine
 
Kwa nini usimuulize huyo lecturer wako alimaanisha nini? Hakuna maana nyingine ya Black Frida tofauti na alivyoeleza mkuu ELI-91 hapo juu.
 
maana yake keshoyake no fiesta: joking
 
Ni siku moja baada ya alhamisi ya thanks giving huko kwa wazungu wanaelewa zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…