Kama nimemuelewa kwa ufasaha mleta mada nadhani anamaanisha kujipima virusi vya ukimwi!Na anajuta kufanya "UNSAFE SEX" this terminology has a wide spectrum of meaning,coz unsafe sex can't only cause pregnancy,you can get sexual transmitted diseases too including HIV!
Na katikati ameandika "I sexed with him bila kondom...sijui ni shetani sijui ilikuwaje nikajikuta kimoja kimepigwa tayari...Tangu pale akili yangu ilivurugika kabisaaaaaa ndani ya moyo najiuliza kwanini? imekuaje mtu simjui nimesex.Sometime najipa moyo coz was safe sex nadhani wataalam wa hii mnanielewa.
Meaning she was on her safe days from getting pregnancy.