Hellow dungu zangu
Ni jana jioni katika computer yangu ya DELL yenye DUO OS yaani nimeweka win7 na windows blue
windows seven niliacha tu niki-assume itanisadia baadae sasa hii windows 7 ilikuwa haiko genuine nikasema ngoja niactivate kwa kusema windows 7 loader lkn pia partition zangu tatu nilikuwa nimeziwekea Bitlocker 4 security purposes ambazo mtu hasiyeelewa at atasecomplicate,sasa Loader nilipoi-run kama kawaida yake ika-boot PC na ikaja windows boot manager nikachagua hiyo option ya windows 7 loader iliiweze kufanya activation lkn window iliyo POP UP iliomba Recovery key ya Drives ninazotaka ku-acess sasa mm hiyo kitu inaitwa recovery key nilikuwa sijui zaidi najua Password ya ku-unlock files najua tu recovery file.txt ambayo nayo nilii-save kwenye Hizo encrpted drives hivo mpaka sasa sijaweza acess files zangu
Mwenye uelewa anisaidie hapo nifanye je?
Nimejaribu safe mode na recovery lkn no progress zaidi naombwa hizo keys
kwa sasa nawaza kuweka Linux kuona kama ita-bypass hiyo windows boot manager