mwambie kabisaaa maana amezidi. lol. x nakumiso ujue.
Mtake radhi baba mkwe wako mtarajiwa
Kudadadadeki Kuna ka bar kanaitwa Narok pub mkabala na arusha techk nimeutwika niko chicha haiwahuu nasema haiwuu kwani bishanga kulewa ndo nini ,nawambia hivi niko chicha. ....tena msinisumbuwe ..tena we Paloma mi nshalewa ujue.....halafu we Madame B ujue nakumaindi .. Na wee Husninyo inahisuu? Niko chichaaaaaa....avracadavraaaaa na mnukome... Zion Daughter nna ham na wewe... The secretary naomba tuonane I love you.....
upo chichaaaa umekula machichaaa uuuuuuhuu ponda raha tuonane wakati umeniacha home nalarua yailah nalarua
daaaah maza mbona unachonga sana jamaniiiiiii!!!! mie nilikuwa nashangaa kwanini dingi kanitaja kwenye ulevi. au sijui ameshapata cha arusha?!?!!?!:majani7::majani7::majani7:
kisses to bebi gelo!!!
Mtake radhi baba mkwe wako mtarajiwa
Ukimaliza amia tripple A ni karibu na hapo ila usithubutu kutembea on foot maana ukikutana na watoto wa mbwa huenda usiione kesho ndugu,nakusihi kuwa makini na hiyo mitaa
Bby haka kajamaa nimekapeleka Narok pub kanaanza kutongoza wake za watu lol
kidogo alete balaa aisee
Bishanga akinywa hajitambui ila nimefurahi kukaona ila kamefulia mbaya ila kanajiita bepali la kihaya....kwikwi
Alikuwa anacheza then wanampa bia hahaaa