Birian la mariam

Birian hivi ni tamu au mana naona watu wanapenda birian siku hizi kuliko maelezo
 
Kwaiyo vijana wa tbt ni vijana biriani au
Baba promo waliopewa vijana wa tabata na dada mariamu kuhusu biriani yaani imepelekea sasa hivi mpk mama ntile nao wameanza kupikia huo mchele wa pishori.
Maana ukikaa kwenye vijiwe vya tabata sasa hivi vijana wote ni kusifu tu utamu wa biriani.
 
Finally, upo jukwaa la wakubwa. Karibu sana ingawa umeingilia dirishani
Asante mkui... sasa nasubiria mambo konki kabisa..
Maana story nilizosikia kuhusu jukwaa la wakubwa sio ya nchi hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…