Biomedical technician

Biomedical technician

Kaka kozi ya Bionedical technology kwa hapa Tanzania chuo gani kinatoa.kwa sabanu hii kozi Ni market Sana.Tafazal naomba jibu Kuna Mdogo wangu anataka Sana kusoma hii kozi.
 
Kaka kozi ya Bionedical technology kwa hapa Tanzania chuo gani kinatoa.kwa sabanu hii kozi Ni market Sana.Tafazal naomba jibu Kuna Mdogo wangu anataka Sana kusoma hii kozi.
Tupo wote mkuu na me nataka nika some
Naskia wanatoa DIT tu.. Haina bachelor of degree kwa hapa Tanzania
 
Sifa za kujiunga mkuu.Mkuu hii kozi Ni moja kwa moja ajira Na wizara ya Afya Kwan Kila Hospital wanatakiwa kuwepo kada hii kulingana Na muongozo wa wizara ya Afya (Ikama 2014-2019) ya Wizara ya Afya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom