iam_Muhammad
Member
- Sep 19, 2017
- 29
- 12
Kwa wanaofahamu mnisaidie, kati ya ATC na DIT chuo kipi wapo vizuri kwenye course ya Biomedical Equipment Engineering?
Atc mzee ni pazurii utafanya practicals za kutosha kuliko dit utameza vítini tuKwa wanaofaham mnisaidie..kati ya ATC na DIT chuo kipi wapo vizuri kwenye course ya Biomedical equipment engineering?
Nimeipenda ghafla kozi hii. Naombeni vigezo tafadhali. Elimu yangu kudato cha nne.Atc mzee ni pazurii utafanya practicals za kutosha kuliko dit utameza vítini tu
subir waje wenye ujuzi wao..Nimeipenda ghafla kozi hii. Naombeni vigezo tafadhali. Elimu yangu kudato cha nne.