Hahahahahahaha kijana wa bavicha hutapata mteja kwa sababu mbili:
1. Hiyo lugha uliyoandika hapo haieleweki
2. Jina lako linaogopesha, mtu anaweza kumleta mtoto wake humfundishe halafu ukaamua kugoma katikakati ya kozi au ukamuacha uende kwenye maandamano!!!