Mkuu Maalim
Mohamed Said , hongera na ubarikiwe sana.
Nimeanzisha TV Talk Series iitwayo "Kwa Maslahi ya Taifa" imeisha anza kuruka hewani periodically, kwenye baadhi ya vituo, kuanzia this July, itaruka weekly kwenye TV, from time to time nitakualika kuchambua baadhi ya hoja zenye maslahi kwa Taifa, zikiwemo baadhi ya issues ambazo zinaonekana kama taboos kama udini, ukanda na ukabila.
Karibu.
P