Binti wa kumnusuru

hanee

Member
Joined
Feb 8, 2015
Posts
41
Reaction score
8
Natafuta mdada wa kumuoa,mimi kijana wa miaka 25,elimu yangu ni ya chuo.nimeajiriwa mwaka 2015
namtafuta binti wa kumuoa awe na sifa hizi :-

1.Awe Muislamu.
2.Mcha mungu na muuumini wa kweli.
3.Awe na umri wa miaka 25 -19.
4.Mwenye mapenzi kwa ajili ya mola wake.
5.Awe na elimu level yoyote.
 
umeajiriwa mwaka2015 .....
 
Safar njema ya maisha na mwenza mtarajiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…