Kuna watu huku mnajifahamu kwa majina yenu huwa mnatabia Ya kuharibu muktadha wa kila kitu nafikiri hata maana ya love connect haipo,ni jokes tu sitegemei great thinker kuwa hivi,mshukuru mungu ww unampenzi wako ,nimesema mtu haoni ,then mmeishia kutania.