Binti rafiki na kuwa mke mwakani..!

Binti rafiki na kuwa mke mwakani..!

Dowd

Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
6
Reaction score
5
Habari za jukwaa Hili”

Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’ kama upo serious tafadhali njoo pm tupate wasaha mzur wa kujuana:
 
jaribu Huyo huenda mkaendana japo ametangaza kuwa single.
 
Mkuu ujue mwakani bado mwezi mmoja tu, ungesema na mwezi
 
Habari za jukwaa Hili”

Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’ kama upo serious tafadhali njoo pm tupate wasaha mzur wa kujuana:
Mkuu am sorry to say this but hizo qualities kwa wadada Wa mtandaoni hutopata unless uwe kama una test zali tu
 
Haha..we jamaa umeacha vinavyonekana unatafuta visivyoonekana.
Ushajiuliza ni nan aliyekuloga ukiacha shangazi yako.
 
Back
Top Bottom