Al_morinaga
Member
- Mar 17, 2012
- 38
- 2
Muache ujue ugumu wa maisha, utazunguka na vyeti kila kona! ata kule kwngne kazidi?
Huo ni Mwanzo! Subiri mchokane ndo Utajua kweli anakupenda au La.
sijawai ona akinifanyia au kunijibu lolote kwa kuhusisha anachonizd mkuuWengi watakujibu hakuna tatizo(kweli kwa juujuu hakuna tatizo- Na tena pia mkiwa a lot good psychologically hakuna tatizo pia). Ila katika mabonde na milima ya maisha, those differences will be paying u guys a visit every now and then. Swali ni kwamba una uwezo wa kuvumilia pale mwenzio anapofanya kitu na ukawa na hisia 99.9999% kwamba kafanya hivyo kwa sababu ya kitu fulani alichokuzidi? what if kaingia majaribuni na kaexercise hiyo power kikweli? will u be able to still hold on to marriage? Chunguza ur inner working, una tolerance kiasi gani mkeo akifanya dharau kisa kakuzidi kitu? kwa sababu let me tell u-ukichukulia upendo kama hisia kuna muda hautokuwepo kabisa(its the ups and downs)...Tafakari chukua hatua,...
tuna miezi 3 mkuu,,hatujafkia tu mda wa kuchokana/na kwani katika mahusiano lazima kuna kuchokana?
sijawai ona akinifanyia au kunijibu lolote kwa kuhusisha anachonizd mkuu
lakini ndani ya hiyo miaka kadhaa ntakua nshamwoa,,c unajua chelewa chelewaNilijua hujamzoea ndo Maana umeleta Mada hii..
Kumbuka hawa wanawake wanapoenda kusoma mama zao huwaambia.
"Soma mwanangu ili mwanaume asikuangaishe"
Kwahiyo wanapachikwa chuki na Dharau kwa mwanaume atakaempata .
Kwahiyo Subiri kwa Mda wa Miaka kadhaa ndo Utaona kama anakupenda Ama La.
Kama atakupenda zaidi. Basi atakuwa 1 in 1000,000
nikifata kanuni hiz manake sitaoa sasa haka kama c yeyeHuwezi kumjua Mtu yeyote Yule kwa Mda mfupi.
Je! Hujui ndoa huwa Tamu mwanzoni. Lakini ikizoeleka ndo Mada kila siku hububujika Humu ndani Maana Makucha ya Wanandoa yameanza kukua.
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli
nikifata kanuni hiz manake sitaoa sasa haka kama c yeye
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli
tuna miezi 3 mkuu,,hatujafkia tu mda wa kuchokana/na kwani katika mahusiano lazima kuna kuchokana?