Kuna jamaa yangu kaniomba nimuulizie huku.
Anatafuta binti bubu, hata akiwa kiziwi sio mbaya.
Miaka isizidi 25, asiwe mfupi wala sio mrefu sana,
Anamtafutia ndugu yake aliyepo hivyo kwa ajili ya ndoa.
Nawasilisha
patandi chuo cha walemavu kipo Arusha nadhani hapo atapata msaada wa anachokitaka. aende Arusha aulizie chuo cha patandi kilipo. strategy na networking zitaanzia hapo
Kuna jamaa yangu kaniomba nimuulizie huku.
Anatafuta binti bubu, hata akiwa kiziwi sio mbaya.
Miaka isizidi 25, asiwe mfupi wala sio mrefu sana, Anamtafutia ndugu yake aliyepo hivyo kwa ajili ya ndoa.
Nawasilisha
Iv kwann unapenda kujiundermine mwenyewe? Kwan hajaona wasokua na ulemavu watakaomkubal kwa hali yake et ataka bubu mwenzie,booo najikuta nmekasirika et,aaargh
patandi chuo cha walemavu kipo Arusha nadhani hapo atapata msaada wa anachokitaka. aende Arusha aulizie chuo cha patandi kilipo. strategy na networking zitaanzia hapo
Hivi ukikutana nae njiani au kwenye gari halafu huna linki yoyote ile ghafla bin vu, utaanzaje kurusha kete zako, make najua wanakuaga na hasira na hawataki dharau