Binti anatafuta kazi

Binti anatafuta kazi

Ngosha2012

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Nina ndugu yangu wa kike ana umri wa miaka 19 kaishia form two anatafuta kazi. Ana uzoefu wa kufanya kazi kama kufanya usafi maofisini na saluni za kiume(barber shop), kuuza duka la simu, nguo au vifaa, na upishi (catering) (japo hajasomea ila kashawahi kufanya kazi hii), Pia yupo tayari kufanya kazi yoyote ili mradi iwe ya halali.
 
Yuko Mkoa gani sasa hujasema mbona.
 
Yuko mkoa gani mkuu,natafuta mtu wa stationery..
 
Anaweza kazi ya grocery counter na kuhudumia??? Kuna kazi huku mshahara 120,000...akiwa serious nichek PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom