Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 580
ingekua wa kiume kafanya hivyo tungesema hayo??Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa akikabaka kavulana kenye umri wa miaka mitatu.
Inadaiwa mama ya kavulana alishituka katoto kuyeyuka nyumbani, akakatafuta pasipo mafanikio. Baadaye akashawishiwa kuchungulia chumbani na kukuta binti wa miaka 16 akiwa kama alivyozaliwa amekalalia katoto kale. Hakufanya papara, mama yule akawaita majirania ambao walipofika wakakuta binti yuko bize. Wakakabeba kama kalivyo na kukapeleka polisi ambako wasamaria wema wakakafunika kuondoa "aibu zao"
Wachangiaji wengi walishauri kwa sms redioni kwamba binti huyo kama ameshindwa kutafuta wakubwa akamatwe na abakwe hadi kufa. Wengine wakashauri asamehewe kwa vile huenda ametumwa akafanya alivyofanya. Mtangazaji alikuwa na wakati mgumu kuzisoma sms kali zile hata akalazimika kuzisoma nusunusu akilalamika kwamba "wewe umeandika tu, lakini mimi ndiye ninayesikika hewani"
Source: Power FM Radio

mimi nina swali nani kamfunza huyu binti haya mambo kwa sababu lazima amejifunza mahali labda kuna mkubwa anamfanyia yeye sa na yeye akaona ajaribu, watafute aliyemfunza binti ili naye aende jela. ila kama kajifunza kwenye muv basi yatakuwa makubwa
Hako kabinti 16yrs kalikuwa na usongo kweli yawezekana tayari kamesha anza hata kupata siku zake.
Je kalikuwa ka house girl au katoto ka jirani???
Siku hizi ndugu yangu utakuta katoto ka miaka 9 kanaboyfriend kwa hiyo miaka 16 mi sishangai maana dunia ya leo sio ile ya Mwl. na tunakoelekea hata SODOMA NA GOMOLA hawakufikia
Inasikitisha kuna jamaa angu alikuwa na uhusiano na dada mmoja kuna siku alienda kwa yule dada akamkosa akamkuta mdogo wake wa kika ana umri wa miaka 14 jamaa akaomba mzigo kale katoto kakakubalia jamaa anadai alishangaa kuona yule binti anajua mchezo kuliko dada mtu