Bint wa kazi anahitajika

Bint wa kazi anahitajika

mourisous

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2016
Posts
443
Reaction score
270
Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam.

Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM.

Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo.
 
Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam.

Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM.

Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo.
Nikupe huyu niliyenane ni mtu mzima ana watoto wawili nilimchukua mwanza kwao Bariadi
Kwa sasa tumeshindwana nae anataka nimpe 150 wakati uwezo wangu ni 100 anapiga kazi vizuri tu na anajiheshimu sana
 
Back
Top Bottom