Gobo Waukweli Member Joined Jul 26, 2016 Posts 16 Reaction score 11 Jul 27, 2016 #1 Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo.
Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo.
SniperBoi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,104 Reaction score 1,135 Jul 27, 2016 #2 Gobo Waukweli said: Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo. View attachment 371945 Click to expand... Dah noma sana labla ndo talent yake hiyo
Gobo Waukweli said: Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo. View attachment 371945 Click to expand... Dah noma sana labla ndo talent yake hiyo
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,187 Reaction score 27,783 Jul 27, 2016 #3 M Gobo Waukweli said: Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo. View attachment 371945 Click to expand... Du! Mashindano mengine buana!
M Gobo Waukweli said: Huyu ndiye mwanaume aliyejishindia shilingi 10,000 za Uganda baada ya kushinda katika mashindano ya mlo nchini humo. View attachment 371945 Click to expand... Du! Mashindano mengine buana!
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,318 Jul 27, 2016 #4 Sifa za kijinga
Gobo Waukweli Member Joined Jul 26, 2016 Posts 16 Reaction score 11 Jul 27, 2016 Thread starter #5 tpaul said: M Du! Mashindano mengine buana! Click to expand... Vp hayafai?
Gobo Waukweli Member Joined Jul 26, 2016 Posts 16 Reaction score 11 Jul 27, 2016 Thread starter #6 onyx said: Sifa za kijinga Click to expand... Usiseme hivyo kila mtu ana kipaji chake.
Cognitivist JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 1,057 Reaction score 2,099 Jul 27, 2016 #7 Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake.
Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake.
Kijundukila Senior Member Joined Apr 7, 2015 Posts 195 Reaction score 144 Jul 27, 2016 #8 Cognitivist said: Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake. Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu ataipeperusha bendera.
Cognitivist said: Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake. Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu ataipeperusha bendera.
Siasa Basi JF-Expert Member Joined Jul 10, 2016 Posts 1,493 Reaction score 4,288 Jul 27, 2016 #9 Vipi familia yake, watoto awabaki njaa kweli
Gobo Waukweli Member Joined Jul 26, 2016 Posts 16 Reaction score 11 Jul 27, 2016 Thread starter #10 Cognitivist said: Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake. Click to expand... Kkkk
Cognitivist said: Naishauri serikali ya Uganda imwendeleze huyu mshikaji na hiki kipaji chake huenda atafika mbali na kuiletea sifa nchi yake. Click to expand... Kkkk
Gobo Waukweli Member Joined Jul 26, 2016 Posts 16 Reaction score 11 Jul 27, 2016 Thread starter #11 Siasa Basi said: Vipi familia yake, watoto awabaki njaa kweli Click to expand... Anaijali sana hayo yalikuwa mashindano.
Siasa Basi said: Vipi familia yake, watoto awabaki njaa kweli Click to expand... Anaijali sana hayo yalikuwa mashindano.