binamu anatafuta kazi

binamu anatafuta kazi

lastborn3

Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
10
Reaction score
6
anatafuta kazi yoyote ile ambayo ni halali kumuingizia kipato,, hachagui hasa kazi za nyumbani,, umri wake miaka 22,, kama upo tayar njoo pm
 
anatafuta kazi yoyote ile ambayo ni halali kumuingizia kipato,, hachagui hasa kazi za nyumbani,, umri wake miaka 22,, kama upo tayar njoo pm
Mpwa, Uko serious kweli? Yaani mtu akufuate inbox kwa shida zako mwenyewe?? You must be kidding
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom