Binadamu wanaongezeka ila watu wanapungua🤔

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
919
Reaction score
1,101

Watu wanazidi kupungua duniani ila binadamu ndo wanaozidi kuongezeka.
Itakuwa ngumu kunielewa kipi nimeimanisha ila kama we muelewa nadhan umenielewa ila kama ujanielewa basi karibu.
Watu wako na roho safi ila binadamu wako na roho mbaya hivi ndo viumbe ambavyo avitaki viumbe vyenzie vifanikiwe ....
Tunazaliwa tukiwa watu ila tunapofika dununia utu unapotea kwa tamaa ya mali n.k yaani unakuta binadamu anadhamin gari kuliko Mtu so hichi kitu ndo kinakuja kutofautisha kati ya mtu na binadamu. Mtu anaweza kuwa binadamu na ngumu sana binadamu kuwa mtu .
Mfano mchawi ni ngumu kuacha uchawi. Kwa mfano wachawi wala watu daah ni hatarii. Nadhani tumeelewana kuhusu watu na binadamu 🙏 uwepo wa watu duniani unapungua na kubaki wanadamu so poa. Mali zimekuwa na dhaman kuliko mtu duuh.
Imeandaliwa na Kimodomsafi
 
We jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
 
Umechanganya! Binadamu ni wachache, watu ndiyo wengi. Ubinadamu ndiyo kitu ambacho watu tulio wengi tunaki-miss; we need to recover ubinadamu. We ni mKenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…