Unaweza kupona kwa dawa au kwa neno la Mungu, si tu kwa maombi. Tiba zote ni mfano tu wa kile Mungu anaeza kakufanyia kwa neno wa roho. Ndio maana hizo dawa mnazotumia hamkuziumba Bali ni miti ambayo alishaweka humo, mnagundua tu kumbe hii ni dawa!Hivi mtu mwenye dalili zote za kipindupindu akiamua kumuomba mungu mara tatu kwa siku hadi apone pasipo kutumia dawa za hospitali anaweza kupona kweli?