1.Ukiwa unaandika kitu kabla ya ku post kisome ili kama kuna sehemu umekosea urekebishe acha haraka
2.Unapokuja kupinga kitu ambacho kimejibiwa na mtu angalia kauliza vile kwa nini usipende kukurupuka
3.huna uwezo wa kunifundisha lolote kuhusiana na chanzo cha binadamu ni wapi.. Naona umedandia gari kwa mbele.
4. Nani kakudanganya kuwa wewe ulikuwa nyani .mbona wapo kibao porini huko au lini watabadilika nakuwa binadamu
5.ulikuwa hujuwi kuwa dini inasema Chanzo cha binadamu ni kuubwa kwa adamu na hawa/upande wa pili sayansi ina tudanganya kuwa wewe ni nyani ila sio mimi•