Huo ni mtazamo wako, waache wenye uhitaji watanunua, asante kwa mchango wako wa kukurupuka.Bima is no longer a service ni wizi mpya unaofichama kwenye maradhi
🖕asante kwa mchango wako wa kukurupuka.
Acha makasirikio kwani hujitambui, umekalia kupotosha watu, we kama huoni maana yake Kaa kimya sio lazima uchangie ujinga inaonesha hujielewi kabisa[emoji867]
👌Acha makasirikio kwani hujitambui, umekalia kupotosha watu, we kama huoni maana yake Kaa kimya sio lazima uchangie ujinga inaonesha hujielewi kabisa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Malipo yote ni kwa mwaka mara mojaMalipo kwa mwezi kwa Baba na mtoto pekee ?
Yes Hii ni nzuri mwajiri akiwa anapeleka contributions kwa wakati...Tutajibanza SHIB la nssf mpaka watukimbize
Bei gani sasa au ndo picha inajieleza ?
Unataka ipi? Hapo kwenye picha gharama zinajieleza pia kwahyo unahitaji ya kundi gani?Bei gani sasa au ndo picha inajieleza ?
WanapelekaYes Hii ni nzuri mwajiri akiwa anapeleka contributions kwa wakati...