je!? yale malipo ya bima ya afya, iwapo muhusika atopata huduma kwa kutopata maradhi ndani ya kipindi husika.
mfuko hufanya nini na hizo pesa!???
Nashauri
mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko endapo atozitumia kupata huduma.

Huna ufahamu wa jinsi biashara ya bima inavyofanya kazi!!je pale unapotumia gharama kubwa zaidi ya michango yako uliyochangia hiyo pesa na wewe utatakiwa kuirudisha!!umechangia tsh.30,000 unaugua unatibiwa kwa laki tatu,hizo pesa za ziada hapo ni za mwenzako ambaye hajaugua.