Mpaka kuweka hizo gharama hawajakurupuka mkuu, zinatosha kabisa na unapata full dozi Bila ya kuongeza kiasi chochote ni vile mtu anaichukulia hiyo hela kijujuu tu lkn nakwambia hakuna mtu aliyewahi kuambiwa outpatient ama huduma nyingine imekataa katikati ya mwezi hivo hawezi kutibiwa .Sababu nimejaribu angalia outpatient ni ndogo sana 1.5mil max kwa mwaka ni ndogo sana.
NHIF nikilipa kifurushi kikubwa cha 576,000
Natibiwa bila kusumbuliwa hapo naepuka Agakhan pekee ila hosptal zote naenda....
Jaribuni weka ukweli ili mtu asijekata afu akaingia gharama
Karibu tena, unapohitaji ufafanuzi usisite kurudi mkuu.Asante kwa maelezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah madogo wa bongo kwa kuhoji nimewavulia kofia. CCM wajiandae kutolewa madarakani. Hiki kizazi kinahoji balaa na wanamaswali ya kinoko balaa.Upigiwe tena!!?
Futa haya maneno sasa "Karibuni sana, kwa anayehitaji maelezo zaidi unakaribishwa kuuliza na nipo hapa kwaajili ya kuwajibu wote."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bima yenu unatibiwa Agakhan Hospital au ni kwenye hospital za michongo?
Kama Baba+Mama+watoto wawili ni 1.09m ,je ukiongeza mtoto mmoja inabidi uongeze 440k? Mbona watoto mmeweka wachache sana wakati mnajua familia za kiafrica hamna hamna mkono(watoto wa 5).
Watoa huduma wetu especially dawati la mteja huwa hawapo tayari kisaikolojia kwa kazi yao.Ungeweka kila kitu wazi ili usijieleze sana...
Mf 440,000
Nitatibiwa hadi kiasi gani kwa mwaka kwa outpatient?
MRI, CT Scan, Operation
Dental, Optometry etc
Nina hakika huwa mna bronchures zinazoelezea kila kitu...
Usipende pigiwa simu wakati uwezo wa kueleza upo
Karibu upate huduma Bora kiongozi, na usisite kuuliza pale unapohitaji ufafanuzi nipo hapa kwaajili ya kujibu mashaka yote.Watoa huduma wetu especially dawati la mteja huwa hawapo tayari kisaikolojia kwa kazi yao.
Huwa wanaona ni kazi rahisi tu ya kuongea na mteja ila kuna ule muda wakigongwa maswali ya ugoko utaona wananuna.
Vipi kwa familia hii?Hapo utachagua Moja wapo. Daraja la kwanza na la pili nje ya nchi za Africa, la tatu na nne ndani ya nchi zote za Africa Mashariki.