Kama unafuta mafisadi papa nchi hii nenda UDOM. Hiyo 46 elf kwa madai yao ati ni kwa ajili ya mafuta ya ambulance wakati mtu akiugua ghafla ambulance yenyewe haitokei kwa wakati na mara nyingi kutokutokea kabisa inapotokea mtu kazidiwa usiku lakini wakipigiwa kwenda kubeba wagonjwa wengine ntyuka na maeneo mengine wanakimbia kama upepo hata kama ni saa nane usiku.
Pia huduma za afya pale kwenye dispensary yao ni hovyo kabisa madoctor wamekalia kushikashika ma**lio ya watoto wakike wanaoenda kutibiwa, dawa hamna kila ukienda kutibuwa.