PreGE2025 Billioni 188.59 zatolewa Kwa TANESCO na REA, Miradi 1222 yatekelezeka 2020/2025

PreGE2025 Billioni 188.59 zatolewa Kwa TANESCO na REA, Miradi 1222 yatekelezeka 2020/2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Katibu wa Mafunzo, Uenezi na Siasa wa CCM Mkoa wa kilimanjaro, Abraham Urio, amesema Tsh Billioni 188.59 zatolewa kwa shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro iliyowezesha shirika hilo kutekeleza Miradi 1222 kwa mwaka 2020/2025.

Amesema hayo katika mazungumzo maalumu na Banana Fm, kuhusu utekelezaji wa Ilani ya chama hicho kwa mwaka 2020/2025.

 
Back
Top Bottom