Bill Gates ashushwa kwenye orodha ya matajiri wakubwa Duniani. Jeff Bezos aendelea kushika usukani wa namba 1

Kuna documentary niliona maisha ya Bill Gate, nyumba anayoishi, sebule moja wapo Ina aquarium kubwa kama ya Sea World.

Hata kama si tajiri namba moja kwenye orodha, anaishi vizuri.
 
Kina LAIZER wetu hawajaingia kwenye hiyo list?
 
Gates ha accumulate tena pesa..yeye anatoa pesa kusaidia dunia kwa sasa

Yuko kila kona ya dunia kwenye maswala hasa ya afya..nchi nying zaa kimaskin znafaidika na pesa zake so usimfananishe gates na matajiri wengne hata sku1...
Hayo maneno unamwambia forbes au mtoa mada !
 
Bill Gates yupo busy anagangaika kuwamaliza watu weusi na kupunguza population ta watu kupitia hayo madawa na chanjo zake, wenzake wanazidi kupaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…