Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Ni noble CatholicMkuu con, tatizo hana Yesu kwa iyo yote anayoyafanya ni BURE.
Ni noble CatholicMkuu con, tatizo hana Yesu kwa iyo yote anayoyafanya ni BURE.
Hizi zinatukumbusha tu, kuwa kuna watu wana pesa.. maana mazingira yetu huku huwezi kuwa motivated na musku yupo mbali sana.. wewe kuna size zako ambao wanaweza kuku inspireHivi hizi list za watu matajiri duniani zinatia hamasa au zinavunja moyo
Hatoi bure bure.. sio mjinga yule.. mtaona effects yake soon.. vaccine ikipitishwa.. atapiga sana pesaKuna mtu mmoja(mzungu) niliwahi msikia siku 1 akisema kama bill gates asingekuwa anatoa UKWASI alionao kufadhili mashirika na miradi mbalimbali..angeewaacha mbali sanaa hao kina beoz na wengineo
Agent mkubwa sana huyu.. yaani watu wanaona anatoa misaada machoni, ila nyuma ya hiyo misaada jamaa ana mambo yake makubwa sana.Mkuu con, tatizo hana Yesu kwa iyo yote anayoyafanya ni BURE.
Na wewe nasikia una lijoka linatapika hela na magari
Azipate anasbo 😀😀😀
...😂😂😂..Nilimwambia Bill, utashuka, akabisha. Ona sasa.
Kutoa ni moyo sio utajiriElon hata foundation yake ya kusaidia watu siijui,ila Melinda&Gates foundation naijua na inatoa ma $bil ya kutosha kusaidia watu.
Huyo mtanzania niwe mimi,Bwana Bwana Bwana.....heeeeNajaribu kuwaza pesa kama hizo azipate mswahili,tena Mtanzania...
Ambae ni Polepole mkuu.Hizi zinatukumbusha tu, kuwa kuna watu wana pesa.. maana mazingira yetu huku huwezi kuwa motivated na musku yupo mbali sana.. wewe kuna size zako ambao wanaweza kuku inspire
kwani ukiwa tajiri ni lazima utoe misaada?
msiwapangie..
Musk anaweza kuwa tajiri wa Dunia ndani ya sekunde chache sana hasa akikamilisha ile project yake ya mars colonisation na bitcoin(hii bado haijathibitishwa bado lakini kuna ushahidi kuwa huyu dogo ndie Satosh Nakamoto)
Zinakatisha tamaa kabisaa mtu unawaza kulima tikiti kweli ufikie utajiri huoo ?Hivi hizi list za watu matajiri duniani zinatia hamasa au zinavunja moyo