Bilionea amjaribu Magufuli

Tuache mahakama ifanye kazi take japo wahindi,waarabu no watu wenye fitina sana.
 
Huyu manyerere ni Qumer tu....nilishasema huyu jinga ni mlarushwa sana. Ona anavyoandika suala la mgogoro wa Loliondo baina ya waarabu na wananchi wa huko...
 

maneno ni mengi lakini ufumbuzi wa mgogoro huu siyo siasa bali mahakamani tu kama ilivyo migogoro mingine ya ardhi
 
Ayayayaaaaaaa.... Osama again, hili swala, lazima very open & clear investigation ifanyike, nani mmiliki halali wa hili eneo... WATU TOKA SERIKALINI, wasio na upande wowote, like wapelelezi maalum, kujua nani hasa mmiliki halali wa eneo...

Nipeni mm hii kazi, within 10 days, nakuja na jibu sahihi kabisa kabisa kwa serikali, & no one can bribe me, within 10 days nitajua nani mmiliki halali wa plot hiyo..!! Hii ni hatari aiseee..
 
Habari za kupika na majungu zinawafanya hawa jamaa wajenge maghorofa
 
Gazeti la jamhuri ni mfano mzuri wa uandishi wa kikanjanja,wenyewe ukiwaona wanajifanya wa maana,kumbe..
 
Uandishi wa Jamhuri ni tatizo, kurudia rudia maneno.
 
Sasa kesi ipo mahakamani, anamjaribu vipi Rais? Rais akiingilia mnadai Uhuru wa mahakama unaingiliwa... Heading za kichochez kabisa
Huyo hawezi kufanywa chochote hata akinya kwenye geti la ikulu,maana ndio wafadhili wa chama chetu hao
 
Sentensi "ALIITISHA"
Si MSAMIATI wa WAKITANZANIA.
Ama ni mimi peke yake ndo ninaona hilo??????????
 
Hapo ni kusubiri tu mahakama itoe uamuzi wa nani mmiliki halali wa eneo lililopo kwenye mgogoro!
 
ukitaka kumficha mwafrica weka ujumbe kwenye kitabu..
Nadhani huo usemi ni kweli kabisa...we unadhani kuishi chini ya dola moja utakuwa na nguvu za kusoma?
 
Muandishi umelogwa nini?We unaleta gazeti hapa badala ya summary?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…