Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli
Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!
Fafanua vizuri bi.Mkubwa! LOWASSA na MBOWE sio wanaCCM.Kama ule wa Lowassa na Mbowe !
Wewe vipi?
Unafikiri Lowassa atakuja kukupa ubilionea?
Unaonesha wewe Krismasi ya 10 hujaenda kwenu.
Bilionea wa Tanzania , ndg Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli
Kudos Mafuruki
Sijui na wewe watasema umenunuliwa!
Niliongea hivyo makusudi ili ni kukamate na ungekuwa mwanajeshi ungekuwa umekufa zamani sana kwasababu watu wa ccm mnajipelepeka tu naKama haram anayomiliki Lowassa na rafiki zake!
Ujinga huo wa mtu mmoja umewapata Ukawa!
Kwani Lowasa sio fisadi? Jana nilimsikia akitaja neno rushwa huku akitetema
Ni muendelezo wa kutaka kulinda mfumo ulio mtajirisha.
Wote wenye manufaa na mfumo, lazima watatetea kulinda mfumo, tunaelewa na hatuwalaumu, sisi tutavunja mfumo.
fanya kazi kwa bidii nawe utakua bilionea,usidhani kila mwenye mafanikio hapa nchini ni mwizi,huyu mafuruki ni mpambanaji na kaupata huo ubilionea kwa jasho lake.
wacha kushinda humu jf muda wote,wekeza muda wako kwenye kufanya kazi kwa bidii uone nawe kama hutafanikiwa vinginevyo utabaki kuwasengenya watu tu humu jf kwa kutumia hiyo ID yako fake.
Hiyo ni mada nyingine tutaifungulia Uzi mkihitaji wengi