R Richbest Senior Member Joined May 23, 2011 Posts 101 Reaction score 24 Jan 20, 2012 #1 Habar za wikiend wadau!ìvi karibun tanesco walivyopandisha umeme nikasikia unit moja ni sh 60 ila mwenye nyumba wangu anatutoza sh 215 kwa unit na matumiz yangu ni chin ya unit 50!naomben ufafanuz zaidi!
Habar za wikiend wadau!ìvi karibun tanesco walivyopandisha umeme nikasikia unit moja ni sh 60 ila mwenye nyumba wangu anatutoza sh 215 kwa unit na matumiz yangu ni chin ya unit 50!naomben ufafanuz zaidi!