Bilateral maxillary sinusitis

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,111
2,000
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo

There is thickening of inferior nasal turbinates seen

There are mucosal thickening noted involving right and left maxillary sinuses

Niliandikiwa dawa ila sikupata nafuu nipo mkoani siwez tena kurud muhimbili najua hapa kuna wataalam naomba mnisaidie mapendekezo ya dawa nitakazo tumia na Mungu akisaidia nipone kabisa

Asante.
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,553

Taja hapa ni dawa gani ulizoandikiwa na duration and frequency of their uses
 
ZaBeast

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
785
500
Hii ni problem mie pia ninayo tangu 2001 nimeona medication yake wanafanya operation naogopa hiyo habari ya operation.

Wewe umeenda medical wamekupa details nzuri nitafurahi kuona solution yake pia.
Asante
 
social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,111
2,000
Hii ni problem mie pia ninayo tangu 2001 nimeona medication yake wanafanya operation naogopa hiyo habari ya operation.

Wewe umeenda medical wamekupa details nzuri nitafurahi kuona solution yake pia.
Asante
Nikikosa usaidizi hapa itabidi nilud muhimbili mwezi hujao,swala la upasuaji linanitatiza sana
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,995
2,000
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo

There is thickening of inferior nasal turbinates seen

There are mucosal thickening noted involving right and left maxillary sinuses

Niliandikiwa dawa ila sikupata nafuu nipo mkoani siwez tena kurud muhimbili najua hapa kuna wataalam naomba mnisaidie mapendekezo ya dawa nitakazo tumia na Mungu akisaidia nipone kabisa

Asante.
RUDI MUHIMBILI
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,995
2,000
MK
Hii ni problem mie pia ninayo tangu 2001 nimeona medication yake wanafanya operation naogopa hiyo habari ya operation.

Wewe umeenda medical wamekupa details nzuri nitafurahi kuona solution yake pia.
Asante
MKUU USIOGOPE TIBA YA KUDUMU NI
UPASUAJI NA NI RAHISI TU.Kuna.mabingwa hawa ENICA na KIMARIO sinta wasahau maishani mwangu kwa utaalamu wao kwa tatizo hilo
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na halitosis kwa muda mrefu baada ya kupima Ct scan majibu yalikuja kama ifuatavyo

There is thickening of inferior nasal turbinates seen

There are mucosal thickening noted involving right and left maxillary sinuses

Niliandikiwa dawa ila sikupata nafuu nipo mkoani siwez tena kurud muhimbili najua hapa kuna wataalam naomba mnisaidie mapendekezo ya dawa nitakazo tumia na Mungu akisaidia nipone kabisa

Asante.
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako mimi ninaweza kukutibia kw adawzangu za asili na ukapona.Ukihitaji matibabu toka kwangu.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
PingPong Nini tiba ya chronic ethmoid sinusitis JF Doctor 1

Similar threads

Top Bottom