Jangala;
Mimi hii puzzle yako naweza kuiita vicious circle of algorithm/arithmetics. You are abusing watu waliofanya mathematics at higher levels. Hii ni puzzle ya kuwapa watoto wa shule ya msingi per ce. Hata "o" level haistahili kuwepo, si mahala pake!
haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua
Sijakasirika,mi nacheka tu hapa,najua tatizo ni nini mpaka watu wanakuwa wakali!!
Hi kweli Joke maana unajipa tabu kutafuta ki2 ambacho unakijua. Jamani ingekuwa hivyo watu wasingechukia Hesabu.
1. Hisabati ni tatizo la kitaifa2. Mkorogo wa kichina huo, unaweka jibu alafu unapata the same jibu, ABRACADABRA hiyo!haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua
Ahaaa,nimegundua,yaani watu walitaka nifanye miracle ya kupanda banghi na kuvuna mchicha au sio?,input iwe umri wa mbuzi na output iwe umri wa binadamu!what i know,input=output!zaidi ya hapo duuh,that is beyond my scope!1. Hisabati ni tatizo la kitaifa2. Mkorogo wa kichina huo, unaweka jibu alafu unapata the same jibu, ABRACADABRA hiyo!