Bila shaka kwa Tangazo hili huenda aliyeshikilia Swichi ya Ndege yetu amekubali Kuiachia ili irejee rasmi nchini

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kuna Tangazo nimeliona hivi punde kutoka kwa Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi kwenda katika Vyombo vya Habari akiwaomba Kukutana nao Kesho asubuhi muda wa Saa 3 na dakika 30 Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Mkoani Dodoma.

Sijui labda Steyn amelegeza Kamba huku Afrika Kusini au labda ndiyo tunataka Kutangaziwa rasmi kuwa Ndege yetu imekuwa rasmi Mali binafsi ya huyu Steyn hivyo sasa Watanzania tuanze Kujua kuwa idadi ya Ndege zetu zimepungua.

Ila huyu Steyn ametutesa sana ndani ya Kipindi hiki Kifupi halafu Jamaa ( Styen ) ni Mjanja kwelikweli yaani muda wote alinyamaza ila aliposikia tu kuwa ' Mkemia Mbishi ' amekuwa Kiongozi wa mwaka wa ' Sadeki ' nae akaona sasa ndiyo hapo hapo amjaribu na amuonyeshe kuwa Ulipaji wa Deni ni Kwanza na Ukuu wa ' Sadeki ' baadae.
 
Ngoja tusubiri ila ninchokumbuka n kwamba mashujaa wetu bado hawajaanza kazi.

Au mkulima kakimbia vita mapema?

Mkumbuke majembe yetu yako fiti balaa, ni juzi tu yametoka kumsambaratisha Lissu mahakamani.

Natamani ningekuwa mmoja wao JIWE anisifie kwa Uzalendo wang, au vp?

Au ni yale maandamano ya wazalendo wet?

Au nakosea?

Au bas.....
 
Kuna Tangazo nimeliona hivi punde kutoka kwa Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi kwenda katika Vyombo vya Habari akiwaomba Kukutana nao Kesho asubuhi muda wa Saa 3 na dakika 30 Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Mkoani Dodoma.

Sijui labda Steyn amelegeza Kamba huku Afrika Kusini au labda ndiyo tunataka Kutangaziwa rasmi kuwa Ndege yetu imekuwa rasmi Mali binafsi ya huyu Steyn hivyo sasa Watanzania tuanze Kujua kuwa idadi ya Ndege zetu zimepungua.

Ila huyu Steyn ametutesa sana ndani ya Kipindi hiki Kifupi halafu Jamaa ( Styen ) ni Mjanja kwelikweli yaani muda wote alinyamaza ila aliposikia tu kuwa ' Mkemia Mbishi ' amekuwa Kiongozi wa mwaka wa ' Sadeki ' nae akaona sasa ndiyo hapo hapo amjaribu na amuonyeshe kuwa Ulipaji wa Deni ni Kwanza na Ukuu wa ' Sadeki ' baadae.
Cleverbright 😎😎😎😎😎😎😎
 
Kwa hiyo sasa ni "ndege yetu" na sio mapangaboi tena?
 
Mkulima Steyn anaenda kuigeuza hio ndege banda la kufugia vifaranga vya kuku, amegusa panapowasha.

Utemi tufanyiane sisi kwa sisi watanzania, wenye sifa za uoga, wenzetu wa nje hawana upuuzi wa kuogopana, haki itatafutwa hata kama inabidi Rais atolewe madarakani, na atatoka tu (Mfano hao hao South Africa kwa Rais Jacob Zuma walivompa mwezi mmoja aachie ngazi).
 
Nimecheka sana Kiongozi.
 
Kumbe serikali wamempa pesa kidogo alafu wamemsihi ajitangaze kuwa ameshindwa kuendelea na kesi...
Serikali yetu ni ya ajabu Sana haiwezekani kutangaza mmeshinda vita huku tukiwa tumeshatoa pesa ya kumpoza mzungu
 
Ndo maana divorce zimekuwa nyingi kipindi hiki hata Wanawake wengi wanakosa Wanaume wa kuwaoa wanaamua tu kupata mtoto na kuishi peke yao, hili Taifa tulikosea wapi? I mean hivi na wewe kuna Mwanamke anakuita Mume/Boyfriend kweli?

Kwa maana umeandika kwa mipasho kama vile Mwanamke aliyenuniana na shoga yake sasa anaanza kuhamisha magoli.
 
Rais Trump wa Marekani akiwa anatutukana Waafrika tusiwe tunamchukia tena ikiwezekana tuwe tunampongeza kwani huenda akawa kwa namna moja au nyingine anatusaidia kuondokana na ' Madhaifu ' yetu Waafrika wengi yanayoanzia Vichwani mwetu. Sasa kama walijua wanaweza Kumlipa Pesa kidogo walikuwa wapi Siku zote hadi wasubiri akamate Mali yetu muhimu? Na kama Pesa hizo kumbe walikuwa nazo kwanini Juzi wamesafirisha Jopo la Mawakili kwenda huko Afrika Kusini? Huwa namwelewa mno Rais Trump na hata wale Wazungu wengine ambao huwa wanatudharau na kututukana Waafrika kwani huwa wanakuwa sahihi kwa 85%.
 
Ndo maana divorce zimekuwa nyingi kipindi hiki hata Wanawake wengi wanakosa Wanaume wa kuwaoa wanaamua tu kupata mtoto na kuishi peke yao, hili Taifa tulikosea wapi? I mean hivi na wewe kuna Mwanamke anakuita Mume/Boyfriend kweli?

Kwa maana umeandika kwa mipasho kama vile Mwanamke aliyenuniana na shoga yake sasa anaanza kuhamisha magoli.

Wewe ni Mmoja wapo wa Wana CCM wachache Wapumbavu niliobahatika kujumuika nao hapa Jukwaani. Mnakiaibisha Chama chetu.
 
Tunaomba ndege ikiachiwa ikafanyiwe checkup ya uhakika japo kuwa ni gharama kubwa na hasara kubwa ...tusijekuwa tumehujumiwa kwa namna nyingine, imagine kama watakuwa wamefyatua baadhi ya mifumo ikasababisha ajali, ni dhahiri watakuwa wameturudisha nyuma sana
 
Na Steyn alivyo ' Mtambo ' hakawii kufanya hivi kweli ana Hasira na Deni lake ila kilichomuuma zaidi ni Kitendo cha Yeye Kudai chake halafu Wapuuzi fulani wasio na hata a,b,c's za mambo ya Kidiplomasia zaidi tu ya Kuchanganya Kemikali zao Maabara wakamzuia hadi kuja nchini. Acheni atukomeshe tu ili Siku zingine tujifunze Kutawaliwa na Busara, Hekima na Utaratibu.
 
Msukuma aldhani mkulima wa SA ni sawa na hawa wakina ngosha au wale aliowanyanganya korosho na akagoma kuwalipa.
 
Back
Top Bottom