txyz
Member
- Apr 3, 2014
- 89
- 48
Walimu ni kundi muhimu sana katika jamii yoyote.Mwalimu Nyerere alipata kusema"Teachers are powerful,and the power of Teachers can't be seen by a fool".
Walimu wanaandaa watu kuwa wataalamu katika idara mbalimbali za serikali na binafsi.Wanawaandaa maofisa wa serikali,wachungaji nk.
Kutokana na umuhimu huo,ni lazima kundi hili litazamwe kwa jicho la tatu na Mh.Rais wetu ambaye naye pia ni mwalimu by profession.Ni lazima maslahi km malimbikizo ya mishahara yao ilipwe kwa wakati ,fedha za matibabu,likizo na gharama za masomo pindi wanapopewa ruhusa kwenda masomoni.
Zimekuwepo kauli kuwa walimu inawapasa kujishughulisha na shughuli nyingine ili kuwaongezea kipato.Tukiruhusu mawazo haya,bila shaka tunaondoa uwajibikaji kwa walimu maana for effective and meaningful learning,mwl anapaswa kujiandaa vema na ufundishaji wa siku inayofuata.
Anapaswa kuandaa lesson plan,teaching aids na kusoma material resources ili kuongeza hali ya kujiamini akiwa darasani.Chukulia mwl anaduka na akiwa darasani anapigiwa simu dukani bidhaa fulani imekwisha.Bila shaka ataaga kazini na kwenda kuitafuta.Kwa ujumla mwl kujihusisha na biashara ni kumfanya awe na ufundishaji wa kulipua.
Hivyo ili kujengea mwl mazingira mazuri,pamoja na malipo ya stahiki zake nilizozitaja hapo juu,ni lazima uwepo utaratibu wa kuwajengea walimu nyumba za kuishi katika maeneo yao ya kazi ili kumpunguzia gharama za kupanga kwa wale ambao hawajajenga na kumpunguzia umbali wa kutoka anakoishi kwenda kazini hali ambayo inamfanya achoke. Pia wapewe teaching allowances na madaraka allowances kwa walimu wakuu na wakuu wa shule kama ambavyo maofisa wa idara nyingine wanapewa,idara kama polisi ambao wanapewa ration.
Bila mwalimu hakuna wataalamu wazuri na viongozi wazalendo kwa nchi.
Viva walimu