Kauli zinazotolewa na viongozi kuepusha uvunjaji wa amani hazina hata tone la kumwogopa na kumwomba MUNGU atuepushe na yanayotokea. Yamejaa ubabe mtupu na hayana Uzalendo.Ningependa kusikia tuunde tume ya kurudisha amani ya nchi inayopotea Kila kukicha mifano hai ya amani kupotea:- Polisi wakamatwa na bangi,Polisi wakutw na fuvu la kichwa,viongozi wa dini kuwawa, bomu lalipuka kanisani, nyumba za wanasiasa mtwara zachomwa, waandishi kutekwa na wengine kuwawa mikataba ya kutokuwa wazi,ajali za Kila kukicha Rushwa iliyokithiri na mengineyo mengi