Mkoa wa Pwani upo nyuma sanaa ktk upande wa barabara makao yao makuu Kibaha hawana hata barabara ya km2 ya lami ni vumbi na barabara zenye mashimo mwanzo mwisho, mi nashaur Kibaha ingerudishwa dar maana Pwani hamna jipya, hakuna sehem unaweza kumpeleka mtu na kumuonyesha kuwa hapa ndo mjini hata Wilaya yoyote ya mkoa tofauti na Pwani inaishinda Pwani. Inasikitisha sanaa watu wamejitahidi kujenga soko la Loliondo lkn mvua ikinyesha hapaingiliki ni tope mwanzo mwisho too shame. Mkiulizwa barabara ya lami mnaonyesha ya kwenda Morogoro, jengeni za kwenu za ndani ya kwenda bagamoyo toka kibaha imewashinda ya kwenda kisarawe toka kibaha imewashinda too shame za mitaani kibaha ndo makorongo unaweza hata kufugia samaki jifunzeni hata kutoka kwa majirani wa ubungo tu maana tukisema mkoa hamuwezi lbd mkajifunze wilayani.
Sent using
Jamii Forums mobile app