Bikra Imenifunga Mwenzenu!!


Owkee Nimekugat Mkuu
Ila Mimi Mchovu Ku b Patiante Mishu Hewa.
Na Ndio Maana Niko hapa Kupata Methods Wich Can Simplfy vp Mwanamke Bikra Huonekana!?
 
Unajua kaka, hii ishu inaweza kuwa tanzu kulingana na unavyoamini. Kwa ujumla kama unaona ana Mungu na wewe unamwamini Mungu kihivyo subiri ila usije ukaokota mabua.

ndo Hvyo Ambacho Sikitak, Maana Najijua Jinsi Ninavyozichukuliaga mbeleni Mishu Za Kumtrust M2 Kumbe Kakufanya *****!
 
Siku hizi kuna ubkra wa kununua kwa hiyo in short usimwamini hakuna mwanamke bkra dunia ya leo
 
Kaka pole sana.But kiukweli kama unapenda toka moyoni na kwli mna malengo cha msingi ni kukalishana chini mkaongea na umuulize huyo mwenzio kama kweli bado anakupenda kwa dhati, usije ukadanganyika na bikra mkapotezeana muda.
 
Aisee pole sana msela! Kwanza lazima utambue kuwa wanawake siku zote wana hulka ya kujilinda, hayuko tayari kukwambia ukweli ile hali anajua atakuudhi. Hivyo hutumia uongo kama gia ya kukufanya umpende zaidi ila mwisho wa siku akikupa mzigo unakuta hola, ukimuuliza vp anakwambia "ningekwambia sina bikira usingenipenda kwa dhati."

Vilevile jitahidi kutumia mbinu yoyote mpaka umgonge, kwani demu hawezi kukupenda kwa dhati kama hujamgonga, na akipata mtu atakayemgonga vizuri ataanza kukuletea dharau halafu ukimzengua anakupiga kibuti mazima. coz si anajua yuko na anayejua kumkuna na sio wewe anayekuona NYOKA WA KIBISA.

Mademu wa sikuhizi wanataka mkianza uhusiano ndani ya wiki muwe mmeshagongana, kinyume na hapo nafasi anaiacha wazi mwanaume yeyote atakayeshusha mashairi mazuri anaachiwa mzigo.

NI VIGUMU KUMTAMBUA MSICHANA MWENYE BIKIRA LABDA KAMA KUNA WANA SAIKOLOJI KAMA WANAWEZA KUMTAMBUA.
HALAFU SIKUHIZI BIKIRA ZINAUZWA MADUKANI.
 
Daah!! mkuu pole sana kwa uvumilivu wako wa kusubiria hiyo bikra. Kwani bikra unaipa nafasi gani kwenye mahusiano yako ya kimapenzi na utafanyaje ikiwa mkikubaliana kufunga ndoa kwa kujua utamkuta bikra halafu ukagundua kitu hakipo sealed?

Kwa upande wangu bikra sio issue sana kwenye mahusiano........awe nayo asiwe nayo nachohitaji ni upendo wa kweli, kujaliana, kusikilizana, kuliwazana, kuheshimiana, kusaidiana n.k n.k, kama hivyo vyote ana ''F'' basi piga chini faster na uangalie ustaarabu mwingine ila kama unataka hiyo bikra isubirie ndugu yangu wengine michezo hiyo ilishatupita kitambo tu!
 

Wenye bikra huwa hawasemi...
 
Na Hyo Bikra Yake kama Mwana jf Fulan Hv.
Huyu Gf Mimi Ni Mwanaume Wa Pili Anadai Wa Kwanza Alianza Nae Mahusiano Toka Shule Na Wakadumu Kwa Miaka Miwil Kisha Wakaachana
Ingawa Anadai Nae Hawakuduu Nae.

Hili ndio jibu mzee unahangaika nini????
 

Nimecheka sanaa...ulipotaja word *BIKRA*
Kuna Bikra na bikira ..bikira ni kinyume cha Neno Birika....

Bikra ni kinyume cha neno karib...
Sasa wewe umehaidiwa ipi
 



Exactly ... couldn't agree anymore .. Faza

 
Kaka pole sana.But kiukweli kama unapenda toka moyoni na kwli mna malengo cha msingi ni kukalishana chini mkaongea na umuulize huyo mwenzio kama kweli bado anakupenda kwa dhati, usije ukadanganyika na bikra mkapotezeana muda.

ahsante RTHA
Maisha Yenyewe haya Mafup
Alaf Mtu Akupotezee Mda!?
Aisee Inauma Sana!
 
yaani Roho Inamung'unyuka Mwenzenu
Hasa Ukizingatia Nampenda Sana Huyu Gf!


kaka acha naye tafuta wa kudumu naye. hao ndiyo zao nilikaa na duu miaka miwili akidai bikra nisubiri hadi ndoa lakini baadaye ananiacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…