Bikini kwanini zinapendwa sana?

hiyo unayoongelea ni G STRING ..
 
Macho yangu au ushambaa😞,mbona kama yuko uchi,hivyo vikamba kama vimepita kwenye mashavu ya something?au!!!!naomba kueleweshwa jama. miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Wanaovaa wanasema wanapendelea kuzivaa kwa sababu mistari ya chupi za kawaida hujichora jambo ambalo hawapendi. Ile kamba ikiingia maeneo haionekani.
 
Haaaa.....kumbe karibia kila kitu kina elimu yake.
 

Yaaaani, genye zikipanda kale ka kamba kanasogezwa pembeni tuu....Astaghafirullahi...
 
Yaaaani, genye zikipanda kale ka kamba kanasogezwa pembeni tuu....Astaghafirullahi...

Hahahahaha umeonaa hata hausumbuki kutoa mara cjui nni yaan unakisogeza mchezo unaendelea haha haadi raah jmn lool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…