Bikini kwanini zinapendwa sana?

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,054
Wasalamu ndugu zangu,

Wanajamiiforum wenzangu naomba mnisaidie katika hili la uvaaji wa chupi za bikini.

Ukweli niliwai kusikia hapo nyuma kupitia maneno ya watu; walipata kusema,"wanawake wanapenda kuvaa bikini kwa sababu kuu moja. eti kale kaupana kanachopita na kuingia kwenye anus yake kana mtekenya,kwaiyo anahisi raha.

Jamani kwa mwenyekujua zaidi au mwenye kuweza kunitoa kwenye mawazo yangu aya si vibaya kunielimisha zaidi.
Kiukweli kilicho nifanya kuandika aya ni baada ya kumuona wife wangu na yeye ameanza kuvaa.

Kiukweli nashindwa kuelewa kila nikifikiria maana ninayo ifikiria mimi. Mimi na yeye tuna watoto watatu sasa na wamwisho ana mwaka na miezi nane.


Noel france 09:32 Today
By MZEE TOLA:
mkuu si ungeanza kumuuliza huyo
mkeo uliyemuona anavaa hiyo bikini!
nitamuliza leo tena kwa style ya
mahaba.Lakini sidhani kama jibu
litakua na tofauti na alilonipa mara
ya kwanza. Alinijibu kwa kuniuliza
swali, kwani zinatatizo gani?
nikamjibu sifahamu ila nahisi kama
zinaweza kukuchubua flani.
"akanijibu hapana ila na mimi
mwanzoni nilihisi kama wewe
unavyofikiria lakini sasa naziona zipo
tofauti na nlivyokuwa nazifikiria.
akaendelea kuniambia kama unaona
zinatatizo niambie. Mzee mzima
nikapotezea. Kama ninge
mjibu,angeniuliza maswali mengi
kuliko majibu.
 
inawapa uhuru pia ni tofauti na chupi kama amevaa nguo iliyombana ile mistari huonekana ila kama ametupia bikini inakuwa haionekani
 
mkuu si ungeanza kumuuliza huyo mkeo uliyemuona anavaa hiyo bikini!

nitamuliza leo tena kwa style ya mahaba.Lakini sidhani kama jibu litakua na tofauti na alilonipa mara ya kwanza. Alinijibu kwa kuniuliza swali, kwani zinatatizo gani? nikamjibu sifahamu ila nahisi kama zinaweza kukuchubua flani. "akanijibu hapana ila na mimi mwanzoni nilihisi kama wewe unavyofikiria lakini sasa naozipo tofauti na nlivyokuwa nazifikiria. akaendelea kuniambia kama unaona zinatatizo niambie. Mzee mzima nikapezea. Kama ninge mjibu,angeniuliza maswali mengi kuliko majibu.
 
Inasemekana kwamba kuvaa bikini ni dalili ya umalaya!!
 
Kuva bikini siio umalaya bt ukiva bikini inakufanya uwe huru tofaut na pichu za kawaida ambazo zinakubana
 
cc: mzizi mkavu
cc: miss chaga
cc: pasco
cc: mshana jr
cc: mamndenye
cc: swiss
cc: masai dada

michango yenu muhimu inahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…