wajinga ndio waliwao.sibado mlikua mmelala usingizi.sasa joto yajiwe ndio hiyo.maweeeeeeeee.akili ikae vizuri 2015 sawa wakora sana.Hivi hii serikali imefumbia macho kabisa hili suala ya umeme biharamulo na chato? Watu wameshindwa kufanya shughuli zao za kimaendeleo kisa umeme, nakumbuka rais jakaya kikwetu aliahidi kutoa generator za kuzalisha umeme ila hadi sasa hajatia maguu yake toka alipopata urais, wahusika tunaomba muiangalie biharamulo na chato pls
Hivi hii serikali imefumbia macho kabisa hili suala ya umeme biharamulo na chato? Watu wameshindwa kufanya shughuli zao za kimaendeleo kisa umeme, nakumbuka rais jakaya kikwetu aliahidi kutoa generator za kuzalisha umeme ila hadi sasa hajatia maguu yake toka alipopata urais, wahusika tunaomba muiangalie biharamulo na chato pls