Biggest Container Vessel

Kama ni kweli, basi liko tupu.....
 
usalama mdogo sana
 
Mkuu hii nimeshuhudia Tanga. huu mchezo wanaufanya sana lakini is very risk. meli inashusha container taratibu na ile machine ( lift) inashusha mpaka kwenye hiyo mashua. ni hatari sana niliona mwenyewe ka sinema vile.
 
hongera kumbe nawe umeshuhudia pale ndio tanga kunani bwakariboishwa saaanaaaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…