O Onguluo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 407 Reaction score 117 Sep 4, 2013 #21 Tumewazoea acha wajifurahishe, hakuna lolote. "Huo ni upepo tu":
W WaKijita JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 590 Reaction score 85 Sep 4, 2013 #22 hahaha! Wanachekesha sana hawa magamba mara kilimo kwanza, maisha bora kwa kila mtz, kujivua gamba zote zimewashinda mtaweza big results now? labda ya ku fail
hahaha! Wanachekesha sana hawa magamba mara kilimo kwanza, maisha bora kwa kila mtz, kujivua gamba zote zimewashinda mtaweza big results now? labda ya ku fail