aise nilijua ni picha mbili tofautiHuu ni Uzi maalum naanzisha ntakua najaribu kushea "vitu vikubwa" ambavyo vimeshawahi kurekodiwa katika sehemu mbali mbali duniani.
Namaanisha vitu ambavyo vimekua vikubwa kuliko kawaida tulivyozoea
Niwe muwazi hii Idea imechochewa(inspired) na kipindi Fulani cha kiteknolojia kutoka channel ya Discovery ambapo wanaongelea "Monster human marvels) kinakwenda kwa jina hilo la heading ya Uzi
Ila tofauti na kipindi hicho hapa ntaongelea Vilivyotengenezwa na binadamu(Man made) na vile vilivyotokea natural pia ntakua nikiweka vitu hivyo " to scale" kulinganisha na vitu vingine
Twende kazi
View attachment 1759722
Pasha Bulker(Meli ya kubwa Tani 76,000 ya kubeba makaa ya mawe) ilivyokwama kwenye tope 2 June 2007, Nobby beach,New Castle, Australia.......Sasa hivi ina jina jipya inaitwa MV Drake
Huyu ng'ombe ni wa kuishi naye kwa akiliView attachment 1759741
Field Marshal, Ng'ombe mkubwa mwenye kilograms 1675, England
Kumbe bongo napo kuna maajabuView attachment 1759876
Jina la mti: Giant Groundsel (Inapatikana Mlima Kilimanjaro)
Nakumbuka kuziona hizo wakati tunaelekea Baranco camp. Giant kweli kweli.View attachment 1759876
Jina la mti: Giant Groundsel (Inapatikana Mlima Kilimanjaro)
View attachment 1759780
Disclaimer: Hii ni sanamu(replica) ya nyoka walioitwa Titanoboa, kwasasa hawapo(extinct) ila inasemekana waliishi South America huko misituni(Kwenye anaconda) kati ya miaka 58 hadi 60 million iliyopita.
Antonov dege la Kirusihii inaitwa Antonov An-225 ni mona kati ya ndege kubwa duniani. ni ya UkrainView attachment 1759856View attachment 1759855e
Kwa supu huyuu vpView attachment 1759859
African Land Snail
Kwa supu huyuu vpUkipata tendsView attachment 1759859
African Land Snail
Ukipata tends ya kuuza vilainishi hapo vp mambo yanakuwa mwake mwakeWärtsilä-Sulzer RTA96-C.....Hii ni injini ya meliView attachment 1759872