Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Mkuu unafatilia chombo gani cha habari..? Hata TBC unaijua kweli..?😂ningekuwa mie Rais wa Ukraine yaan kesho tu ningejiunga NATO!
[emoji23]ningekuwa mie Rais wa Ukraine yaan kesho tu ningejiunga NATO!
HahahaaaaMkuu unafatilia chombo gani cha habari..? Hata TBC unaijua kweli..?[emoji23]
RAIS wa Marekani Joe Biden amewahakikishia wabunge wa Marekani kwamba wanajeshi wa taifa hilo hawatashiriki katika vita vya Ukraine, na hakuna hata mwanajeshi hata mmoja atakayetumwa katika nchi hiyo ya Ulaya Mashariki kupigana na Jeshi la Urusi....
NATO hawataki kupigwa Russia wanamkataaningekuwa mie Rais wa Ukraine yaan kesho tu ningejiunga NATO!
Putin hana ujanja au uwezo wa kufanya hiki unachoandika hapa. Kama lengo la Putin ni kuichapa Marekani basi asingeenda kushambulia Ukraine ambayo sio mwanachama wa NATO na kuziacha nchi kama Lithuania, Estonia na Lativia ambazo ni wanachama hai wa NATO na pia anapeano nao mpaka. Anasema hataki majeshi ya NATO na silaha mlangoni kwake, lkn hizo nchi nilizotaja hapo juu tayari ni wanachama wa NATO na wanahifadhi kambi za NATO, maelfu ya askari na silaha za NATO karibu yake.Putin alisema sitaipiga Ukraine USA wakasema ataipiga na tunaona anavyosogeza majeshi na vifaa hatimaye putin anashusha kipigo...
ungekua unaelewa maana ya kuzungukwa usingeleta hii ramani yako uchwara.Putin hana ujanja au uwezo wa kufanya hiki unachoandika hapa. Kama lengo la Putin ni kuichapa Marekani basi asingeenda kushambulia Ukraine ambayo sio mwanachama wa NATO na kuziacha nchi kama Lithuania, Estonia na Lativia ambazo ni wanachama hai wa NATO na pia anapeano nao mpaka. Anasema hataki majeshi ya NATO na silaha mlangoni kwake...
mkuu achanaye sijui chochote wamekomali kusema kwani ni member wa natoungekua unaelewa maana ya kuzungukwa usingeleta hii ramani yako uchwara
pia RUSSIA anaihitajia zaidi UKRAINE kuliko hao members wa NATO sababu akiibeba UKRAINE angalia atakavyokua karibu zaidi na wanachama wa NATO huku RUSSIA kidogo ikiwa mbali kwahio kama itatokea vita mbeleni inatakiwa kwanza muanze kupambana na RUSSIA akiwa yupo UKRAINE kabla yakumfikia RUSSIA akiwepo kule RUSSIA.kwenyewe
Haya kapiga Ukraine sasa mnasemaje ingieni muone si alisemaNafikiri ww unaongea kishabiki zaidi kuliko uhalisia. Kivita unaweza kusema kuwa hizo nchi ziko mbali na Russia? Afu kama Mrusi ana nguvu kwann hakuziwia hizo nchi kujinga miaka hiyo kama alivyofanya Mmarekani kwa Cuba enzi za Fidel Castro na nchi zingine zilizopo karibu na Amerika? Kifupi jamaa ashashindwa maarifa na Mmarekani, na hana ujanja tena wa kupindua meza eti kuzivua hizo nchi uanachama.. na kamwe Mmarekani asingekubali ujinga huo ufanyike mlangoni kwake, lkn urusi kutokana na uoga wake aliangalia majirani wote walivyojiunga mwanzo mwisho afu leo hii 2022 ndo anajifanya amezinduka na kuanza kuvamia wasiokuwa wanachama, huku akiwaruka kama vile hawaoni hao wanachama. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.
Vita sio kama Ngoma ya Mdumange bwana mdogo kwamba unapigana tu kama masela wa Manzese kisa kuonyeshana ubabe.Haya kapiga Ukraine sasa mnasemaje ingieni muone si alisema
We unazani marekan chiz aende kupoteza nguvu nauchumi wake kisa ugomvi wandugu ili kufurahisha watu, huyo Ukraine sio mwanachama wakeUkraine waweke TU silaha chini, Vita ishawashinda Hii watazidi kuchakaa bure.
Kama USA kamkimbia Russia,
Ni Nani mwingine anauthubutu wa kumuingilia Russia?
Maana Kwnyw huuu mgogoro marekani ndo superpower na ndo kioo Cha jamii kwa NATO,EU na Dunia nzima kufuata nyayo zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Time inazungumza hichi kilichofanywa na Mmarekani kuchange gear hewani kumuachia msala UKRAINE Kitaendelea hata hizo nchi mnazoziita wanachama hivi tu tujiulize swali la msingi ule uvamizi angefanya nchi kama Japan Mmarekani asingepeleka jeshi Ukraine kweli...? hapa tusipepese maneno hata Hata siku akizingua Poland Mrusi akaivamia patatoka vijisababu kuwa oooh kwa kuwa mwanachama mchanga hatuwezi kupeleka jeshi hafanyi hivyo Mmarekani kwa kubahatisha anajua afanyalo anamjua Mrusi tangu dahali huko kwani mara ngapi Mmarekani anapeleka majeshi yake kwa zisizokuwa wanachama wa Nato au mnajisahaulisha kwa nini hapeleki Ukraine anajua moto wa MrusiPutin hana ujanja au uwezo wa kufanya hiki unachoandika hapa. Kama lengo la Putin ni kuichapa Marekani basi asingeenda kushambulia Ukraine ambayo sio mwanachama wa NATO na kuziacha nchi kama Lithuania, Estonia na Lativia ambazo ni wanachama hai wa NATO na pia anapeano nao mpaka. Anasema hataki majeshi ya NATO na silaha mlangoni kwake...
Kujiunga nato ni mchakaro wa miaka mingi mkuuningekuwa mie Rais wa Ukraine yaan kesho tu ningejiunga NATO!