Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,491
Haya sio mambo ya hisia, ni maswala ya scholars.Kumbe alikuwa ndugu Yake elitugul ? Toba!!!!
Ndio akili za Jews (not necessary Jesus, but a Messiah).JESUS IS COMING AGAIN
Msingi wake ni kuelewa Jewish ideology na imani yao kuhusu hiyo ardhi.The middle East crisis ni mgogoro ambao umejaa ushabiki wa kidini na Umagharibi na umashariki.
Unacho sema ni ukweli kabisa hawa watu Wana misingi ya Imani ya ajabu sana,nadhani bwana yule wa Ujerumani wa enzi za NAZI aliwajua vema na tabia zao ndo maana Ali deal nao vibaya mpaka sasa ni historia wasio taka kuisikia.Msingi wake ni kuelewa Jewish ideology na imani yao kuhusu hiyo ardhi.
Changamoto zao za awali na kwanini wako tayari kwa lolote.
But then humanity knowledge has progressed for a Messiah reasoning.
Jews ideology in heavenly being is a problem and are committed.
Kinachokera ni sisi waafrica kutoelewa Jews ni nani. Ukisoma ili jukwaa ni ujinga mtupu.
Watanzania sio wapekuzi.Unacho sema ni ukweli kabisa hawa watu Wana misingi ya Imani ya ajabu sana,nadhani bwana yule wa Ujerumani wa enzi za NAZI aliwajua vema na tabia zao ndo maana Ali deal nao vibaya mpaka sasa ni historia wasio taka kuisikia.
Huu mgogoro ni zaidi ya Imani kama wengi wanavyo faham hasa wale mashabiki wa zile Imani za dini kuu mbili wa Afrika.
Napenda ulete Uzi kuhusu Jews ili tupate kuongeza maarifa zaidi
Dr Mambo Jambo anasemaje kwanza Mkuu?Watanzania sio wapekuzi.
Kawaida sina tabia ya kumshabikia mtu kama mimi mwenyewe sijajifunza.
Kwa jamii yetu mtu ambae, kafanyia research haya mambo’ ni Chionda’
Kuelewa anachoongea inataka utumie masaa mengi sana kujifunza kwenye documentaries, sema Chionda ana kichwa chepesi (kunizidi) hawezi tu kusimulia kama academic (ila depth).
Kumueshimu Chionda inataka uwe mfuatiliaji wa hayo, documentary ngapi inabidi uangalie (ni nyingi) Ndio uwezi jua jamaa kafuatilia hayo mambo na ni (Genius).
Hayo ya Jews yapo wazi, kwani huko Iran unadhani IDF wanaweza infiltrate bila ya Iranian Jews. Hiyo attack ya juzi control Center tunaambiwa ulikuwa ndani ya Iran.
Binafsi naelewa hiyo vita ni ngumu kwa uelewa historically na ideology ya Israel, kinachonikera ni mataahira wa hili jukwaa kutoelewa hata hao wa Israel ni watu gani na hata hawajui vita yao halisi,
Mimi nimeweka facts, ni jukumu la mtu mwingine la mtu mwingine sasa kuni-prove otherwise.Dr Mambo Jambo anasemaje kwanza Mkuu?
Kiranga pia huhitaji logics/facts scientifically si ishu za kiimani/spiritual issues bila ya empirical evidences, yupo sahihi au hayupo sahihi?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Dadavua japo kiufupi, huyo Kiondo anahitimisha vipi hiyo vita Israel vs Iran kwa jinsi ulivyomuelewa?Mimi nimeweka facts, ni jukumu la mtu mwingine la mtu mwingine sasa kuni-prove otherwise.
I can assure you, he won’t succeed.
View: https://m.youtube.com/watch?v=UIimWL8wEs8&pp=ygUHY2hpb25kYQ%3D%3D
Na kumuelewa Chionda kwenye hiyo interview naweza kukuletea documentaries za masaa zaidi ya ishirini ujiulize huyu Chionda hizi info kazifoa wapi au kusoma kitabu gani chenye accumulated knowledge.
Vinginevyo mimi sio mtu wa kuongea tu, bila ya kujifunza kwanza,
Na ninaposema waanzilishi wa monotheism niwaarabu, Jews asili ni waarabu na wachangiaji wa hili jukwaa hawajui vita ya Israel wengi hawajui ideology yake. I mean it.
Vinginevyo mleta anae hitaji elimu
Chionda alikuwa anaongelea chimbuko la dini mpaka ‘Constatine’ alipoikuta; kabla ya yeye Romans walivyokuwa wanaamini miungu yao ni viongozi wao.Dadavua japo kiufupi, huyo Kiondo anahitimisha vipi hiyo vita Israel vs Iran kwa jinsi ulivyomuelewa?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Naweza kupinga hoja hizo hizo iwe kwa kutoa changamoto au kutaka kuelewa zaidi. Bado nipo katikati kwa hoja za huyo Kionda maana hana tofauti na anayeamini au asiyeamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hizo documentaries ziliandikwa na Watu na huwezi kujiridhisha hao waandishi walikuwa na lengo lipi kuweka historia ya dunia kabla ya kuumbwa, ilipo sasa na itapokuwa miaka maelfu na maelfu ijayo kwa maandishi ya ukweli au uongo.Chionda alikuwa anaongelea chimbuko la dini mpaka ‘Constatine’ alipoikuta; kabla ya yeye Romans walivyokuwa wanaamini miungu yao ni viongozi wao.
Anaenda mbele anachambua sababu za Martin Luther.
Anaweza simulia mambo ya nyuma ya mkutano wa kwanza wa kutengeneza biblia. Wahusika, changamoto ya kuchagua vitabu.
Na mikutano yote ya mbele hadi kupatikana kwa King James Bible.
Anaweza simulia hadithi za zama ancient Egyptians, kipindi cha kina kina Plato.
The guy is just eclectic mpaka unajiuliza hivi huyu mtu hii knowledge kaitoa kwenye kitabu gani kimoja.
Vinginevyo you have to watch a lot of documentaries to appreciate his knowledge.
Naongea kwa ufupi tu anajuwa what transpired na namna kanisa lilivyohakikisha kuna dini moja, Islam ilivyo ibuka, mzozo uliofuata.
Chionda ni Genius (kwa watu ambao tunapenda kujifunza hayo mambo) kuheshimu uelewa wake na amount of documentaries tulizoangalia yeye hivyo vitu vipo kichwani,
He is just unpolished.
Tukirudi hapa kwenye uwanja wetu wa ukipata togwq bwege mnyanyase swali moja tu nimeuliza asili ya Jews ni waarabu (sijaona huyo wa kubisha).
Sasa ndio watamuweza Chionda kweli alivyo na miakili.
Chionda sio wa mzaha-mzahaNaweza kupinga hoja hizo hizo iwe kwa kutoa changamoto au kutaka kuelewa zaidi. Bado nipo katikati kwa hoja za huyo Kionda maana hana tofauti na anayeamini au asiyeamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hizo documentaries ziliandikwa na Watu na huwezi kujiridhisha hao waandishi walikuwa na lengo lipi kuweka historia ya dunia kabla ya kuumbwa, ilipo sasa na itapokuwa miaka maelfu na maelfu ijayo kwa maandishi ya ukweli au uongo.
Kipimo gani maalum hudhihirisha hizo documentaries siyo fiction mbali na kuzisoma na kuzizingatia jinsi zilivyoandikwa?
Hicho kipimo chenyewe kilifanyiwa utafiti upi, wapi, muda gani, kwa njia zipi na akina nani haswa hadi kukiamini hakitakuwa na mapungufu yoyote ya ukweli kuthibitisha documentaries juu ya historia ya Wayahudi, Waharabu na hao Waajemi hadi zikubalike ni sahihi 100%?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Chionda anajua sio kidogoNaweza kupinga hoja hizo hizo iwe kwa kutoa changamoto au kutaka kuelewa zaidi. Bado nipo katikati kwa hoja za huyo Kionda maana hana tofauti na anayeamini au asiyeamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hizo documentaries ziliandikwa na Watu na huwezi kujiridhisha hao waandishi walikuwa na lengo lipi kuweka historia ya dunia kabla ya kuumbwa, ilipo sasa na itapokuwa miaka maelfu na maelfu ijayo kwa maandishi ya ukweli au uongo.
Kipimo gani maalum hudhihirisha hizo documentaries siyo fiction mbali na kuzisoma na kuzizingatia jinsi zilivyoandikwa?
Hicho kipimo chenyewe kilifanyiwa utafiti upi, wapi, muda gani, kwa njia zipi na akina nani haswa hadi kukiamini hakitakuwa na mapungufu yoyote ya ukweli kuthibitisha documentaries juu ya historia ya Wayahudi, Waharabu na hao Waajemi hadi zikubalike ni sahihi 100%?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.