Huyu bibi lazima atakuwa Muhaya...Bibi kizee alimshtaki kijana aliye mbaka,na siku ya kesi hakimu alianza kwa kumhoji bibi na mahojiano yalikuwa hivi: hakimu:> bibi siku unabakwa nani alishuhudia ili aje kuwa shahidi? BIBI:> Baba hakimu huyu kijana alitaka kunibakia peupe peee mie nikamshauri tusogee pembeni kidogo maana hiyo njia huwa wanapita wajukuu zangu toka matembezi kwahiyo hakuna alie tuona.HAKIMU:>pamoja na hayo kwanini hukupiga kelele za kuomba msaada? BIBI:>Mheshimiwa hakimu hivi unafikiri nilikumbuka hata hayo?nilikuwa nasikia raha ya ajabu.HAKIMU:>sasa kwanini umemshtaki kama ndiyo hivyo? BIBI:>Mimi nataka anioe tu maana kanikumbushia mwenyewe.
Huyu bibi lazima atakuwa Muhaya...

Kwani wahaya hamfanyi?Ututake radhi siye wahaya,ebooooo we ****** nini?
ha ha ha ha ha ha ha ahhaa ha h aha :lol::lol::lol: hapo inabidi njemba ichague kwenda jela kwani ombi la bibi ni gumu zaidi