Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 30
- 80
Hayo yapo sana kiongozi usidharauKwa hyo mpk ss bibi yupo macho au baada ya mama mdg kuondoka akafumba tena na nyie kwenda kumzikaa au nn kiliendelea mkuu..
Uongo huu
Hata sijui huwa Kuna siri gani mtu anapokufaNi kawaida katika ulimwengu mambo hayo kutokea .
Ni zaidi ya mara moja nimekuwepo mortuary kufanya maandalizi ya mwili wa ndugu zangu lakini pia Muda mwingine kufanya PM Kwa waliouwawa si ajabu marehemu kukuta amekufa akiwa katoa meno nje kama ila akianza Kwa kuvalishwa nguo baadhi za ndani anarudisha usawia wa meno na mdomo wake .
Japo Kuna njia za kufosi mpaka awe sawa ila ndugu zake na wale wakubwa wamekuwa wakisema msisunbuke embu mvalishe chupi mara mvalishe boxer tuone kama atabaki hivyo au atabadilika basi majibu yamekuwa kama walivyohisi hapo awali .
Maiti wanafurahisha sana kama sio ndugu zako .
Jamaa mmoja kauwawa huko vijijini kilabuni kwenye pombe ya kienyeji ,wakati wa mvua Kali na utiririkaji wa maji ,basi kwakuwa tulikuwa tunalewa wote kilabuni ikabidi nimebebe walau afike mortuary mlevi mwenzangu hao polisi wa upelelezi tutakutana Kwa mortuary attendant ,saa ngapi mwamba asiniletee mambo yake ?
Sehemu ya masaa mwili kufika ilinichukua usiku mzima na gari ikiharibika na kujizima pasina kuelewa yeye alitakaje ?
Ila baada ya kumtua sikupata shida yoyote mpaka nafika kwangu .
Hivyo nilahisi labda alinionea Kwakuwa nilikuwa bwana mdogo na niliotaka tuongozane naye wote waligoma Kwa kisingizio Cha kuogopa kutoa ushahidi
Kwahiyo unampiga na chloroform anatuliza wenge ili asivuruge ratiba ya mazishiNi kawaida katika ulimwengu mambo hayo kutokea .
Ni zaidi ya mara moja nimekuwepo mortuary kufanya maandalizi ya mwili wa ndugu zangu lakini pia Muda mwingine kufanya PM Kwa waliouwawa si ajabu marehemu kukuta amekufa akiwa katoa meno nje kama ila akianza Kwa kuvalishwa nguo baadhi za ndani anarudisha usawia wa meno na mdomo wake .
Japo Kuna njia za kufosi mpaka awe sawa ila ndugu zake na wale wakubwa wamekuwa wakisema msisunbuke embu mvalishe chupi mara mvalishe boxer tuone kama atabaki hivyo au atabadilika basi majibu yamekuwa kama walivyohisi hapo awali .
Maiti wanafurahisha sana kama sio ndugu zako .
Jamaa mmoja kauwawa huko vijijini kilabuni kwenye pombe ya kienyeji ,wakati wa mvua Kali na utiririkaji wa maji ,basi kwakuwa tulikuwa tunalewa wote kilabuni ikabidi nimebebe walau afike mortuary mlevi mwenzangu hao polisi wa upelelezi tutakutana Kwa mortuary attendant ,saa ngapi mwamba asiniletee mambo yake ?
Sehemu ya masaa mwili kufika ilinichukua usiku mzima na gari ikiharibika na kujizima pasina kuelewa yeye alitakaje ?
Ila baada ya kumtua sikupata shida yoyote mpaka nafika kwangu .
Hivyo nilahisi labda alinionea Kwakuwa nilikuwa bwana mdogo na niliotaka tuongozane naye wote waligoma Kwa kisingizio Cha kuogopa kutoa ushahidi
Kwahiyo unampiga na chloroform anatuliza wenge ili asivuruge ratiba ya mazishi